African
Life Assurance (T) Ltd kwa kushirikiana na Ndege Insurance Brokers
wanakuletea Bima ya Maisha ya “Safari Njema”. Sasa kila msafiri anaweza
kukata bima ya maisha ya SAFARI NJEMA inayotoa kinga ya siku 7 uwapo
safarini kwa gharama ya shilingi 5,000/= utapata mafao yafuatayo:
i) Mafao ya shilingi 10,000,000/= ikiwa utapoteza maisha au utapata ulemavu wa kudumu.
ii) Kurudishiwa gharama za matibabu mpaka shilingi 500,000/= baada ya kupata ajali.
iii) Utapewa mkono wa pole kwa msiba wa shilingi 500,000/= ikitokea ajali ya kifo.
Tazama kipeperushi hapo chini kwa maelezo na msaada zaidi, na kujua jinsi ya kujiunga na bima ya maisha ya Safari Njema.
Pia wasiliana nasi kwa namba +255 786 666 100 na +255 769 666 004 au baruapepe safarinjema@aflife.co.tz
|
|
No comments:
Post a Comment