Monday, September 15, 2014

Nafasi za Pre Form One Kwa Wasichana Bweni - Gili Secondary School

Gili ni shule ya wasichana ya bweni tu, imesajiliwa na wizara ya elimu kwa namba S.4375 na baraza la mitihani la taifa kwa namba S.4565.  Shule ina nafasi za masomo kidato cha kwanza katika michepuo ya Sanaa, Sayansi na biashara. Tupo Kibaha Maili Moja B, kilometa mbili kutoka barabara ya Morogoro.
Masomo ni ya miezi mitatu na yataanza tarehe 20 September mwaka huu.
Jinsi ya kujiunga
Tunapokea wanafunzi kila Jumatatu hadi Ijumaa kwa ajili ya Interview (Usaili). Usaili unafanyika shuleni na Fomu zinatolewa hapa shuleni na Msimbazi Centre au kwenye tovuti yetu www.gilisecondary.ac.tz . Kwa usaili na jinsi ya kufika shuleni wasiliana nasi kwa namba: +255 714 477216, +255 753 604102 , +255 787 320522.
Email: gilisecondary@gmail.com | Facebook: www.facebook.com/GiliSecondarySchool  | Twitter: www.twitter.com/Gilisecondary  | Website: www.gilisecondary.ac.tz.
Nafasi za Pre Form One Kwa Wasichana Bweni - Gili Secondary School

No comments:

Post a Comment