Sunday, October 9, 2016

MAJONZI NA SIMANZI KWA KANISA MKE WA JACKSON BENT AFARIKI KWA AJALI

 Marehemu mama Josh -mke wa mwimbaji  Jackson Bent  enzi za uhai wake
Marehemu mama Josh -mke wa mwimbaji  Jackson Bent  enzi za uhai wake akiwa na mwanaye Josh


Simanzi na vilio vimetenda katika  anga la Arusha na Tanzania kwa ujumla mara baada ya kusikika kwa habari za kusikitisha  za kifo cha  mke wa   mwimbaji mashuhuri Jackson Bent

Habari hizi zilianza kuzagaa jana jioni   na picha kuanza kuenea katika mitandao mbali mbali  kuelezea na kusikitishwa na kifo chake  kilichotokea kwa ajali

g sambweti blog  na salvation radio bado tunaendelea kufuatilia  kwa undani zaidi  japo tumekwisha dhibitisha kifo hiki bali tutazidi kukujuza habari zote mpaka  mazishi yake.

No comments:

Post a Comment