Friday, October 21, 2016

WAZIRI KAIRUKI AZUNGUMZA NA WATENDAJI WA TASAF MANISPAA ZA KINONDONI, TEMEKE, ATEMBELEA NA KUONGEA NA WANUFAIKA WA TASAF


Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando, akizungumza na kutoa maelezo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki (kulia), wakati alipokutana na watendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf ) wa Manispaa za Kinondoni na Temeke, jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Salum Hapi. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki, akizungumza na watendaji wa Tasaf wa Manispaa za Temeke na Kinondoni kuhusu masuala mbalimbali ya kiutendaji katika kuhuzidumia kaya masikini kujikwamua kimaisha kama malengo ya Serikali ilivyokusudia na si vinginevyo pia aliwataka watendaji hao, kuzilinda fedha hizo, zinazotolewa na Serikali pamoja na wafadhili.
Mratibu wa Tasaf Manispaa ya Kinondoni, Onesmo Kweyamba, akiwasilisha ya Utekelezaji wa shughuli za Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (Tasaf 111), wakati wa mkutano huo na Waziri Kairuki (wa pili kulia). Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF, Ladislaus Mwamanga.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo. 
Mratibu wa Tasaf Manispaa ya Temeke, Hosana Ngonyani, akiwasilisha taarifa ya utendaji wa Tasafa Awamu ya Tatu ya manispaa hiyo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki (kushoto), akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF, Ladislaus Mwamanga. 
Mratibu wa Tasaf Mkoa wa Dar es Salaam, Esterina Sephania, akiwasilisha taarifa ya utendaji wa Tasaf Mkoa wa Dar es Salaam mbele ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki (wa pili kulia), wakati wa mkutano huo. 
Mbunge wa Jimbo la Jimbo la Kigamboni, Dk. Faustine Ndugulile, akitoa mchango na angalizo katika mkutano huo kuhusu utendaji na utekelezaji wa awamu hiyo na hali ya utekelezaji katika awamu iliyopita.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Salum Hapi, akizungumza na kuelezea hali anayokutana nayo kuhusu hali ya utekelezaji na uandikishwaji wa Kaya masikini kwenye Kata mbalimbali za wilaya yake.  
Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF, Ladislaus Mwamanga, akizungumza katika mkutano huo wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki (katikati) na watendaji wa Manispaa hizo.  
Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii na Vijana, Manispaa ya Kinondoni, Mwajuma Magwiza akitoa maoni yake kuhusu masuala ya kufanikisha awamu ya tatu ya mpango huo wa Tasaf. 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki, akizungumza na watendaji hao. 
Baadhi ya watendaji wa Manispaa hizo wakiwa katika mkutano huo. 
Baadhi ya watendaji wa Manispaa hizo wakiwa katika mkutano huo.  
Diwani wa Kata ya Kigogo akimpatia maelezo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki, alipotembelea Kaya Masikini za kata hiyo, Kigogo Kati jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wanufaika wa Tasaf wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki, alipowatembelea na kuzungumza nao leo. 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki, akizungumza na wanufaika hao. 
Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF, Ladislaus Mwamanga, akizungumza na wanufaika wa Tasaf Kigogo Kati jijini Dar es Salaam.  
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Salum Hapi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki, akiingia kwenye nyumba ya mmoja wa mnufaika wa Tasaf. 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki, akizungumza na mnufaika Bibi Mwanaisha Mohamed. 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki na ujumbe wake wakimsikiliza Bibi Mwanaisha Mohamed. 

No comments:

Post a Comment