Friday, November 11, 2016

WAZIRI KAIRUKI AZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA KUJENGA, KUKUZA MAADILI, HAKI ZA BINADAMU, UWAJIBIKAJI, UTAWALA BORA, MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA JIJINI DAR


Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Assad akitoa utambulisho kwa Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Kujenga na Kukuza Maadili, Haki za Binadamu, Uwajibikaji, Utawala Bora na Mapambano dhidi ya Rushwa mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana  na Kuzuia Rushwa nchini Bw. Valentino Mlowola akimkaribisha mgeni rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (katikati) wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Kujenga na Kukuza Maadili, Haki za Binadamu, Uwajibikaji, Utawala Bora na Mapambano dhidi ya Rushwa mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Assad.  
Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Kujenga na Kukuza Maadili, Haki za Binadamu, Uwajibikaji, Utawala Bora na Mapambano dhidi ya Rushwa mapema hii leo jijini Dar es Salaam. 
Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (wa pili kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana  na Kuzuia Rushwa nchini Bw. Valentino Mlowola taarifa ya utekelezaji wa kampeni ya Kitaifa ya Kujenga na Kukuza Maadili, Haki za Binadamu, Uwajibikaji, Utawala Bora na Mapambano dhidi ya Rushwa mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Assad na kulia ni Mwenyekiti wa Tume ya haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Bahama Nyanduga.
Mwenyekiti wa Tume ya haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Bahama Nyanduga. akitoa neno la shukrani kwa Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Kujenga na Kukuza Maadili, Haki za Binadamu, Uwajibikaji, Utawala Bora na Mapambano dhidi ya Rushwa mapema hii leo jijini Dar es Salaam.  
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana  na Kuzuia Rushwa nchini Bw. Valentino Mlowola (kulia) akijibu swali kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Kujenga na Kukuza Maadili, Haki za Binadamu, Uwajibikaji, Utawala Bora na Mapambano dhidi ya Rushwa mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki na kushoto ni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Assad. 
Waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Kujenga na Kukuza Maadili, Haki za Binadamu, Uwajibikaji, Utawala Bora na Mapambano dhidi ya Rushwa mapema hii leo jijini Dar es Salaam. 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kamati ya utendaji ya maadhimisho ya siku ya maadili kitaifa mara baada ya Mheshiwa Waziri kuzindua rasmi Kampeni ya Kitaifa ya Kujenga na Kukuza Maadili, Haki za Binadamu, Uwajibikaji, Utawala Bora na Mapambano dhidi ya Rushwa mapema hii leo jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Eliphace Marwa – Maelezo)

No comments:

Post a Comment