Mshauri maalumu wa Rais wa Gambia
Adama Barrow amesema zaidi ya dola za Kimarekani milioni 11 zinaaminika
kutoweka katika hazina ya serikali, kufuatia kuondoka madarakani kwa
mtawala wa muda mrefu Yahya Jammeh.
Mia Ahmad Fatty amewaambia
Waandishi wa habari katika mji mkuu wa Senegal Dakar kwamba wataalamu wa
masuala ya fedha wanatathmini kujua ni kiasi gani kwa sasa kimepotea.Amesema Gambia kwa sasa ina tatizo kubwa kifedha kwa hazina yake kutokuwa na kitu. |
Monday, January 23, 2017
Jammeh aiacha hazina ya Gambia tupu, abeba mamilioni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment