Monday, June 12, 2017

BREAKING NEWS LIVE !! Ripoti ya pili ya mchanga wa madini IKULU


Leo ndio siku ambayo Rais Magufuli anapokea ripoti ya pili ya mchanga wa madini kutokana na lile sakata la makontena kuzuiwa kusafirishwa kwenda nje ya Tanzania… bonyeza play hapa chini kutazama LIVE kutoka Ikulu.




kwa hisani ya milard ayo

No comments:

Post a Comment