Ndege iliyowaleta wanafunzi hao kutoka nchini Marekani mara baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airpot mkoani Kilimanjari leo.
Wanafunzi wawili miongoni mwa watatu waliorejea leo kutoka kwenye matibabu nchini Marekani
Baadhi ya wanafunzi wamejitokeza kuwapokea manusura watatu wa ajali ya basi la wanafunzi wenzao wa Shule ya Lucky Vincent ya Arusha wakitokea Marekani ambako walikuwa wanapatiwa matibabu.
No comments:
Post a Comment