Kwanza uongozi mzima wa G SAMBWETI blog unatoa shukrani za dhati kwa wale wote waliowahi kutembelea blog hii ambao ni watu zaidi ya laki nane elfu thelathini mia tatu na arobaini na tatu (833343) tangu ilipoanzishwa hapo mwaka 2011 hadi leo 15/06/2018
hatuna budi kuwashukuru sana kwani nilipenda kuendelea kuwahabarisha bali sheria za TCRA zinanilazimu kusitisha uchapishaji katika gazeti lenu hilipendwa la G sambweti blog.
pia napenda kutoa shukrani kwa wale wote waliokuwa wakisiliza salvation radio tz online kuwa matangazo hayo kwa sasa yamesimama rasmi.
Tutaonana tena na kurudi hewani Mungu akipenda
asanteni sana nini mimi Gasper sambweti
0755 656445
sambweti@gmail.com
No comments:
Post a Comment