Thursday, October 23, 2025

MKUU WA WILAYA ATEMBELEA SAVVY FM 105.3 ARUSHA


Kushoto ni mkuu wa wilaya ya Arusha Joseph Mkude na kulia ni meneja wa savvy fm Mr.Borry Mbaraka.



Arusha
 Mkuu wa wilaya ya Arusha Joseph mkude leo  ametembelea kituo cha redio cha Savvy fm 105.3 katika kuendeleza ushirikiano na vyombo vya habari ndani ya jiji la Arusha


Mkuu wa wilaya ameweza kuzungumza na wanachi mbali mbali wa kanda ya kaskazini na kuwasisitiza kuendelea kudumisha amani sambamba na kujitokoze kwenda kupiga kura tarehe 29 octoba 2025.


No comments:

Post a Comment