Mtoto
Anayefahamika kwa jina la Eneneza Maulidi, Mkazi wa Mtwivila Manispaa
ya iringa Anahitaji msaada wa hali na Mali ili kuweza kufanikisha
matibabu ya Kansa ya Ngozi inayomsumbua.
Kama umeguswa na matatizo ya
mtoto huyu ambaye ni taifa la kesho unaweza kuchangia chochote ulicho
nacho unaweza kutuma chochote kupitia
MPESA 0762 174573 Hii ni namba ya mama wa mtoto Roida Mhema.
KUMBUKA KUTOA SI UTAJIRI ,MTOLEE MTOTO HUYU LEO NA KESHO NAE ATOE KWA WAHITAJI WENZAKE
KUMBUKA KUTOA SI UTAJIRI ,MTOLEE MTOTO HUYU LEO NA KESHO NAE ATOE KWA WAHITAJI WENZAKE
No comments:
Post a Comment