Tuesday, June 12, 2012

FM ACADEMIA WAZEE WA GWASUMA WATOA BURUDANI ARUSHA

Nyoshi akiwapa burudani wakazi wa mkoa wa Arusha waliouthuria shoo yao iliyofanyika katika ukumbi wa Triple A jijini Arusha
 wazee wa kazi wakitoa burudaani
 washabiki wakiburudika
 wacheza shoo wa ngwasuma

 penechee kipara akimwaga ela kwa wanamuziki wa gwasuma
 kikazi zaidi

No comments:

Post a Comment