Monday, June 11, 2012

GARI LACHA BARABARA LAIVA NYUMBA ENEO LA RISK CLUB ARUSHA


 wananchi wakishangaa gari hilo jinsi lilivyoivamia nyumba hiyio
gari aina ya kosta iliyokuwa inatoka moshi kuelekea arusha ikiwa inaonekana kwa mbele jinsi ilivyo acha barabara na kuvamia nyumba idadi ya majeruhi bado hatujajua na kama kunamtu amefariki dunia tutawajuza baadae

No comments:

Post a Comment