Mkutano wa CCM Jangwani leo
Maelefu
wakiwa wamefurika kwenye mkutano wa hadhara wa CCM unaofanyika jioni
hii kwenye VIwanja vya Jangwani, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ni wa
kuwapongeza viongozi wa mashina na matawi waliochaguliwa katika
uchaguzi wa CCM ulifanyika kwa ngazi hizo mkoani Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment