Waziri wa Habari, vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara
akiongea na maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali leo jijini
Mwanza.Pamoja na mambo mengine amewataka maafisa hao kuielimisha jamii
kuhusu masuala mbalimbali ya maendeleo yanayofanywa na serikali kupitia
vyombo vya habari.
atibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Seith Kamuhanda (mstari wa kwanza) akifuatilia mada kuhusu changamoto zinazoikabili Tanzania katika kuhama kutoka mfumo wa Analojia kwenda
Digitali kufikia mwaka 2012 katika Kikao kazi cha Maafisa habari na
Mawasiliano wa Serikali leo jijini Mwanza. Wengine wanaoonekana nyuma ni
maafisa habari na Mawasiliano wa Serikali.
Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali wakifuatilia kwa makini hotuba iliyokuwa ikitolewa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo leo jijini Mwanza.
Waziri
wa Habari, Vijana na Utamaduni Dkt. Fenella Mukangara (mstari wa kwanza
katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Wizara
hiyo na maafisa habari na Mawasiliano wa Serikali mara baada ya kufungua kikao kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano leo jijini Mwanza.
No comments:
Post a Comment