Monday, June 11, 2012

KUTANA NA DI ACTION KUTOKA KASKAZINI


kutoka pande za R chuga mpaka kufanya track na msela DALLAH JET ambaye ni mbongo anaefanye kazi zake huko  kwa zulu natali namaanisha AFRICA KUSINI sio mwingine leo namletwa kwenye msanii wa hip hop  DI


akiongea moja kwa moja kwa njia ya mtandao kutoka the green city  namaanisha Mbeya huko anakuopiga mzigo katika media moja Antelmi August  a.k.a  DI ACTION

Haya ndio maneno yake mwenye kama alivyolonga na blog hii hii leo ........

di action

mi kama kawa ni di.action(nikiwakilisha kaskazini ft dollah jet kutoka sauth africa &pupy g kutoka mbeya (jamvibe records ya mixng ila beat kutoka m lab kwa duke!
^
 hakuaishia hapo DI ACTION aliendelea kusema kuhusu ujio wake huo kuwa si wa kuotea na tayari kajipanga kwa bandika bandua baada ya track hii nyingine ipo jikon ikama asemavyo

hii ni single yangu ya pili na nipo slow kuachia ngoma kutokana na majukumu ya kazi,
 ^
nilimuuliza vipi kuhusu mambo ya kupata mdadhani fatsre akafunguka  
kama kuna m2 anaweza kusimamia kazi zitoke ni poa jembe wafungukie2 haina noma!
 
KWA SASA ANAKIBAO KIPYA KINACHOKUJILIKANA KAMA ......... 
WE KEEP MOVING.mp3

DI.ACTION.jpg DI.ACTION.jpg
DI.ACTION,DOLLAH JET&PUPY G--WE KEEP MOVING.mp3                                          DI.ACTION, katika pozi akitafakari                       



  

























                                                                                                                                                                       

No comments:

Post a Comment