Tuesday, July 10, 2012

Bss Arusha gumzo ni majaji zaidi ya washiriki




Majaji wa shindano la BSS wakiwa katika ukumbi wa Triple A 
tayari kwaajili ya usahili wa kuwasaka washiriki wa shindano hilo 
kwaajili ya kuwakilisha Mkoa wa Arusha katika shindano 
litakalofanyika jijini Dar es Salaam, 
 kutoka kushoto ni Master J, katikati Rita Paulsen na Salama Jabir

Washiriki wa shindano hilo wakisubiri kuingia ndani 
kwaajili ya Usahili wakiwa wameketi katika
 viwanja vya Triple A jijini Arusha

Kushoto ni Afisa Masoko kampuni ya simu  ZANTEL kanda ya kaskazini Bw.Melitus Kimolo akizungumzia juu ya suala la uchangishaji damu ambapo yeye mwenyewe alichangia damu,,zoezi ambalo lilikuwa pia likiendelea katika viwanja hivyo,,,,Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko Bw.Deepak Kumar Gupta
Daktari akiwa anamtoa damu kijana aliyejitokeza kuchangia damu kwa hiari

No comments:

Post a Comment