Jicho
Letu lilipofika Soko Kuu lilikaribishwa na rundo la taka, Jicho Letu
liliendelea kustaajabishwa na rundo hili la takataka zilizopo pembezoni
mwasoko.
Uchafu
umerundikana na kufanya sehemu hii muhimu yanapo patikana mahitaji
muhim ya kila siku kwa wakazi wa jiji hili kuwa hatarishi na kero kubwa
kwa wafanya biashara pamoja na wanunuzi.
Katika
hali ya kushangaza Jicho Letu lilimuona kijana mmoja wa makamu akiwa
amejipumzisha katikati ya rundo hilo la taka, bila kujari harufu kari
iliyokuwa inajitokeza sehemu hiyo yeye aliendelea kulala usingizi. Jicho
letu halikufanikiwa kupata jina lake wala muda wa kuongea nae.
Ona picha zaidi za maeneo mbalimbali yalio kithiri uchafu Arusha Mjini.
GONGA HAPA JAMII BLOG
No comments:
Post a Comment