Wednesday, January 16, 2013

Lady Yoo toka Sanawari Arusha


Binti mwenye umri mdogo ulioambatana na kipaji kikubwa katika kughani anayekwenda kwa jina Lady Yoo, anadrop brand new single "lady yoo" ilosukwa pande za noizmekah.com ikiwa ni hardcore hiphop track inayomtambulisha mwanadada rappa katika game.sikiliza na kudownload HAPA na kwa mawasiliano zaidi kuhusu mahojiano na Bookings na Lady Yoo check +255 758 394 470Inline

No comments:

Post a Comment