Saturday, April 20, 2013

PICHA YA LEO NIAMBIE HUU UVAAJI WA MJI AU MKOA , JIJI GANI NDANI YA TZ

HAWA NI MOJA YA WAVIJANA WALIOAMUA KUPIGA STAIL YA ARUSHA NA WANASEMA HAWANA KWERE(SHIDA) NA WATU

KWA HARAKA UVAAJI HUU NI MAARUFU SANA KWA VIJANA WA JIJI LA ARUSHA SHAT KUBWA NA SURUALI YA KUBANA (MNYONYO)

No comments:

Post a Comment