Baadhi
ya Wananchi waliozitambua maiti zao katika Viwanja vya Maisara
wakisaidiwa na Askari kutokana na Huzuni kubwa waliokuwanazo.kwa kuzama
kwa Meli ya skagit hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha
Chumbe Zanzibar.
Baadhi
ya wananchi wakiwa katika Foleni ili kwenda kuzitambua Maiti zao
katika Viwanja vya Maisara kutokana na kuzama kwa Meli ya skagit hapo
jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
Baadhi
ya Maiti zilizopatikana katika Ajali ya Meli ya Skagit iliozama zikiwa
katika Eneo la Maisara kwa ajili ya kutambuliwa na Nduguzao.
Baadhi
ya Wageni kutoka Nchi mbalimbali wakiwa katika Viwanja vya Maisara ili
kujuwa Ndugu zao na kuangalia taratibu zinazofanyika viwanjani hapo
kutokana na Kuzama kwa meli ya skagit hapo jana katika Eneo la karibu na
Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
Baadhi
ya Wananchi wakiwa wamekusanyika katika Viwanja vya Maisara ili kuweza
kupata taarifa ya Ndugu zao waliokuwa katika Meli ya Skagit ambayo
imepata Ajali ya Kuzama katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe
Zanzibar.
Baadhi
ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbaliombali wakiwa katika Viwanja vya
Maisara ili kuweza kupata Taarifa mbalimbali za kuletwa kwa Maiti
ambazo zimepatikana katika ajali ya Meli ya skagit iliozama hapo jana
katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
Wananchi
mbalimbali wakizitambua Maiti zao zilizopatikana katika Ajali ya Meli
ya skagit iliozama hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha
Chumbe Zanzibar.
Baadhi
ya Maiti zilizopatikana katika Ajali ya Meli ya Skagit ilizama
zikiteremshwa katika Viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar ili kutambuliwa
na Jamaa zao.
Madaktari
wakiandika Orodha ya Maiti zinazoletwa hapo katika Viwanja vya Maisara
Mjini Zanzibar Baada ya kupatikana kutoka katika Meli ya Skagit
iliozama hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
Wahusika
wa Matayarisho ya Mazishi ya watu waliokuwa bado hawajatambuliwa na
Jamaa zao ili kuzikwa kiserikali wakiwa katika kazi ya kutayarisha Sanda
hapo katika Viwanja vya Maisara Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI
-MAELEZO ZANZIBAR.
Mmoja wa Majeruhi akipata huduma ya Kwanza baada ya kuokolewa akiwa katika bandari ya malindi
Daktari akitowa huduma ya kwanza kwa mmoja wa majeruhi wa boti iliozama ikiktokea Dar-es-Salaam kuelekea Zanzibar
Majeruhi wa ajali ya Meli wakiwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja wakipata huduma baada ya kuokolewa.
Majeruhi wakiwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja
Watalii na raia wa kigeni pia walikuwemo katika meli iliyozama hawa ni baadhi ya waliosalimika
Abiria waliookolewa kutoka katika meli iliozama ya Star Gate katika bahari ya Chumbe Zanzibar
Abiria aliyeokoka kutoka katika meli iliyozama
Abiria
aliyookoka katika Meli iliozama ya Star Gate akifarijiwa na Jamaa zake
Baada ya kuteremka katika Meli iliowaokoa hapo Bandarini
No comments:
Post a Comment