Monday, August 20, 2012

Yaliyojiri Kwenye Sikukuu Ya Eid Dar Es Salaam pia jua washindi wa Serengeti super nyota


Pichani ni Linah, Mwasiti na Maunda Zorro wakiwa Backstage ya Dar Live wakisubiri kuanza kwa show
Maunda Zorro akiwa juu ya jukwaa la Dar Live
 Mwasiti juu ya staji la Dar Live

Linah juu ya jukwaa akifanya vitu vyake kwa wakazi wa Mbagala waliofika Dar Live
Dj Choka na yeye aliwakilisha
Baada ya kutoka Dar Live mtu mzimadj choka alijichanagaya hadi  pande za Sinza Club Sun Cirro kwenye fainali za Serengeti Fiesta Super Nyota na hapa alikutana  na mchizi wake  Dj Ziro amabye ndie Dj aliekuwa kisababisha katika shughuli nzima ya serengeti supa nyota ambayo jana usiku ilifikia kilele ndani ya club sun cirro
Stage ya Sun Cirro ikiwa hivi na MC wa shughuli hiyo alikuwa Anti Mandoza
katika mchuono huo ulishirikisha super nyota kumi na nne ambapo mshiriki mmoja kutoka mwanza alijitoa mwenyewe kwa kusema kuwa hakuwa tayari kuabisha mkoa wake kwa kuimba chini ya kiwango hivyo kujitoa na  kusababisha washiriki wabaki 13 
mchuano huo ulipat washindi wake watatu baada ya raundi mbili za mpambano mkali uliofanyika ndani ya club San Cirro maeneo ya sinza
katika mchuano huo raundi ya pili   ambapo iliwajumuisha washiriki sita bora ambapo katika kinyanganyiro hicho mwanadada catherine john kutoka Arusha aliwakilisha jiji hilo hadi kufikia hatua ya sita bora huku G fire  au mafaya faya akiishia katika raundi ya kwanza 

hadi mwisho wa mpambano waliopata nafasi ya kuwa serengeti super nyota ni YOUNG KILLER,JO MAKER na NELLY hawa watapata fursa ya kutembelea mikoa yote ambayo serengeti fiesta itafanyika 

picha hisani ya http://djchoka.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment