Ikiwa
ni tamasha la kwanza kabisa la aina yake kufanyika jijini Arusha kwa
mwezi wa Agosti 2012,Mambo Jambo Summer Jam iliyofanyika siku ya Jumapili ndani ya uwanja wa mpira Sheikh Amri Abeid Stadium jijini arusha tarehe 19 iliyokuwa siku ya Idd El Fitr
ilifana sana.
umati wa watu ambao ni wakazi na wageni ndani ya jiji la Arusha zaidi ya elfu nne toka Arusha,Wasanii
wote waliowakilisha katika tamasha walishangiliwa vilivyo na hakika
mashabiki walifurahia burudani hiyo ilotolewa kwa hisani kubwa ya Mambo
Jambo Radio 93.0 FM Arusha.
Much love kwa fans wote wa Muziki Arusha na mambojamboradio.com
aluta continua mbishe ziendelee mpaka r chuga kuwe kama mbele
No comments:
Post a Comment