Machafuko yanaendelea nchini Misri kupinga filamu inayodhihaki dini ya kiisilamu nchini Marekani.
Polisi wametumia gesi ya kutoa machozi
kuwatawanya waandamanaji waliokuwa wanaelekea katika ubalozi wa Marekani
na kuwasukuma nyuma hadi katika medani ya Tahrir.Barabara mjini Cairo karibu na ubalozi, zimefungwa kwa kutumia nyaya pamoja na magari ya polisi.
No comments:
Post a Comment