Tuesday, September 11, 2012

wasanii Arusha waanzisha mipango kabambe ya kushirikiana

Hii  ndio cypher /program  /mpangowa kwanza katika series ya cypher tatu ambayo ina wasanii wakubwa na underground wa Arusha kama JCB,Bou Nako, Vatoloco, FBG, Bad Taito, Daz Naledge, Chabba, Chalii Mtoto Wa Bibi wa Jambo Squad, Slaz, Age, Gentriez, Yung Omega na wengine.

Hiyo cypher imerokodiwa Fnouk Studios na Sam Timber, imefanyiwa mix na Daz Naledge na beat imetengenezwa na Darsh Pandit wa Wanene Entertainment.

Video imerekodiwa na Dark-Q Photography's Darlington Mbasha na lights zimefanyiwa set-up by Nisher Entertainment.

No comments:

Post a Comment