Friday, October 5, 2012

MUANGALIE RICK ROSS KISHA MUANGALIE PACHA WAKE WA TZ KATIKA UWANJA WA NDEGE TZ

 Meneja wa Bia ya Serengeti ambao ndio wadhamini wakuu wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012,Allan Chonjo akisalimiana na Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Marekani Rick Ross mara baada ya kuwasili usiku huu ndani ya uwanija wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,akiwa na baadhi ya wanamuziki wenzake pichani nyuma,kati ni Oparesheni Meneja wa Prime Time Promotions Ltd,Balozi Kindamba ambao ndio waratibu wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012 linalotarajiwa kufanyika hapo kesho
 Rick Ross akitoa salamu ya salut kwa washabiki wake waliojitokeza usiku huu (hawapo pichani) kumlaki


                                                                         Rick Ross akiingia ndani ya mchuma.
 Operesheni Meneja wa Prime Time Promotions,Balozi Kindamba akiwaongoza wageni wake kuelekea kwenye gari tayari kuondoka kuolekea kwenye hoteli waliopangiwa kufikia usiku huu,Shoto ni Rick Ross na akiwa na baadhi wanamuziki wenzake aliombatana nao .
Rick Ross akiondoka na mchuma wake kuelekea hotelini usiku huu.


 Mmoja wa mashabiki wa Rick Ross aliyezua tafrani kiaina akijifananisha na Rick Ross akizungumza na na baadhi ya watu waliojitokeza kumlaki The Big Boss mwenye Rick Ross.

No comments:

Post a Comment