Saturday, October 6, 2012

TUMPIGIENI QUENBEATZ APERFOM KWENYE BONGE LA SHOW AENDELEE KUUKUZA MZIKI WA BONGO "WANENE ENT....."

KUTOKA WANENE ENTERTAINMENT ARUSHA AMBAYO PIA KWA SASA INAJITAHIDI KUPANDISHA VIPAJI VYA WASANII WA TANZANIA NA HUYU NI PRODUCER NA MSANII AMBAYE ANAFANYA KAZI NA WANENE ENT. PANDE ZILE ZA AMERICA ALIPO PRODUCER DARSH KWA SASA

Quantrell Wilkes, better known by his stage name "quanBeatz", ni rapper/producer kutoka Mid-west ambaye yupo Wanene Entertainment. Ana nyimbo yake mpya anaitwa My City ambaye imemshirikisha Mac Milli wa Street Capital.

Msanii huyu ambaye pia ni Producer ni mmoja kati ya watu wanaoupa tough mziki wa Bongo pande zile za Amerika ambapo anaziupload ngoma za bongo katika Web tofauti zinazotembelewa sana pande zile za nje na hata hivyo yuko Tayari kufanya kazi na msanii yeyote wa Bongo ukimtafuta wasiliana tu na Producer Dash Mmiliki wa wanene Entertainment



jamaa anakuomba kura yako kama ulivyoona hapo juu unaweza kumpigia kura kwenye link utayoina hapo chini

                               na huu ndio wimbo wake mpya sikiliza na kudownload hapa

event flyer image

              mpigie kura hapo aka perform kwenye showcase ya Coast2Coast Chicago.
                  http://coast2coastmixtapes.com/audiodetail.aspx?audioid=200097
                                         ..Wanene's In The House...
 

No comments:

Post a Comment