Tangazo la waziri mkuu Monti kujiuzulu lilikuja baada ya chama cha waziri mkuu wa zamani, Silvio Berlusconi kuacha kuiunga mkono serikali, na kuweka uwezekano wa uchaguzi wa mapema, ambao unaweza kufanyika kati ya Februari na Machi mwakani. Viongozi wa Ulaya wamezisifu juhudi za waziri mkuu Monti katika kujaribu kuurejesha uaminifu wa mfumo wa fedha wa Italia.
No comments:
Post a Comment