Friday, January 25, 2013

JENGO MOBB WASANII TOKA ARUSHA


Hawa ni vijana wawili Toka Arusha ambao wana uwezo mkubwa sana katika uimbaji na Vipaji vyao vinatufanya kama wadau wa Burudani kuwapa Support na Kukuomba wewe kama Mdau wa upande huu ambaye tunaheshimu mchango wako wasaidie kwa support ya hali Yoyote ili wafikie lengo lao walilonalo la kuwa Moja kati ya Vijana wakali Kimuziki Nchini tanzania.
wanaitwa Jengo mobb toka Majengo ya Arusha na kundi linaundwa na ALKAN & ROGER na huu ni wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la NIKIWA umefanyika pale M RECORDS kwa PRODUCER MUSSA SOULDIER.
KWA MAWASILIANO YA INTERVIEW NA MAMBO MENGINE
PHONE NO. 0756 501 177 AU 0787 444 924
www.facebook.com/Jengo Mobb


PATA NAFASI YA KUUSIKILIZA NA KU DOWNLOAD WIMBO HUO HAPA CHINI:-

No comments:

Post a Comment