Friday, January 25, 2013

wanafunzi wa chuo cha St. John Dodoma waandamana..




Wanafunzi wa chuo kikuu cha St John Dodoma wamefanya maandamano makubwa wakilaani vitendo vya kuvamiwa, kuibiwa, kubakwa na hata kuuwawa na vikundi vya wahalifu huku wakishinikiza uongozi wa jeshi la polisi mkoa wa Dodoma uwajibishwe kwa kushindwa kuzuia uhalifu chuoni hapo.

Source: ITV TANZANIA

No comments:

Post a Comment