Monday, January 21, 2013

WATU WANNE WAJERUHIWA, MAGARI 24 YAHARIBIWA KATIKA KITUO CHA MABASI UBUNGO. ITV

Watu wanne wamejeruhiwa,huku magari madogo zaidi ya 24 ya watu binafsi yakiharibiwa vibaya katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nchi za jirani cha Ubungo jijini Dar-es-salam baada ya kuangukiwa na ukuta.

Source: ITV TANZANIA

No comments:

Post a Comment