Sunday, February 24, 2013

Badspenders ft MayC & Keneh-Highway


Wamerudi tena Vijana toka ChugaCity na brand new joint waloipa jina HighWay wakishirikiana vema na Wanadada wawili wakali wa kuimba toka Arusha ,May C wa "RudGals" pamoja na Keneh wa "Miles Away" Pata kusikiliza na kusupport wimbo mpya wa HighWay kwa kubofya HAPA CHINI NA KUSIKILIZA

No comments:

Post a Comment