Sunday, February 24, 2013

JCB & MoPlus ft Domokaya-Niende Wapi


Hii ni new single toka kwa JCB na MOPLUS ikiwa inapatikana katika kanda mseto yao ya pamoja itakayotoka mwezi wa tatu na kuitwa "Makalla Wa Ukoo VOL 1"..Track hii ya "NIENDE WAPI" imetoka www.noizmekah.com na ni Beat ya Producer Zigilaa na vocal mix yake producer Defxtro,Domokaya toka wamandavako ameshirikishwa katika chorus na pia verse moja kwa mawasiliano ya mahojiano check na MakallaWaUkoo kupitia 0715488255 & 0713641677kufahamu mengi zaidi kuhusu mixtape inayokuja, Ununuzi wa Tshirts na Stickers za Watengwa,Movement,Nitoke Niende wapi na nyingine kibao.Downoad ngoma HAPA

No comments:

Post a Comment