Sunday, February 24, 2013

3Skills wa FieldForce na HIZO PESA


Kundi chipukizi 3Skills wakazi wa FieldForce Kwa Mrombo Arusha kundi likiongozwa na Papaa Mugisha toka makole exagon,BabaNay toka Malola family na Kinyo toka Kino Side na ngoma ya mtindo wa Zouk hii imepewa jina "Hizo Pesa" toka Noizmekah Studios Arusha. "Mbali na kuwa wanamuziki sisi ni wajasiriamali na shughuli zetu za maisha zinatukimu na hivyo 3skills tunataraji kufanya mengi na makubwa katika game la muziki Tanzania,Kwa wadau mbali mbali tunaomba support yenu katika promo ya goma letu, Download nyimbo HAPA

No comments:

Post a Comment