Sunday, February 24, 2013

Msanii chipukizi Ramadhan Jumanne

Msanii chipukizi katika medani ya BongoFleva Ramadhan Jumanne aka 4R toka pande za singida aja na nyimbo yake ya kwanza kabisa aloipa jina "Kutonipenda" ikiwa ni Zouk-rnb alorecodi studio za noizmekah Arusha. anataraji kufanya ngoma nyingine inayokwenda kwa jina "Si ungeniambia" hapo badae lakini kwanza support "Kutonipenda" 4R_500.png

No comments:

Post a Comment