Monday, February 11, 2013

JUA VYA KUFANYA WIKI YA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAPENDAO




Photo

Mlio wengi mnaisubiri kwa hamu kubwa Siku ya Wapendao hiyo 14/2, lakini je mwajua kila kilele cha kitu kinaambatana na maandalizi au maadhimisho? Au tunakurupuka tu siku ya mwisho na hotuba ndefu za I LOVE U na maua mekundu na kadi au nk. Sasasa Pata ratiba kamili ya maadhimisho ya Wiki ya Wapendao na kama hujafanya hayo anza leo kabla ya siku kufika.

Date sheet of valentine weeks:-
7 Feb Rose Day
8 Feb Propose Day
9 Feb Chocolate Day
10 Feb Teddy Day
11 Feb Promise Day
12 Feb Kiss Day
13 Feb Hug Day
14 Feb VALENTINE's DAY
15 Feb Slap Day
16 Feb Kick Day
17 Feb Perfume Day
18 Feb Flirting Day
19 Feb Confession Day
20 Feb Missing Day
21 Feb Break Up

No comments:

Post a Comment