Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na uongozi wa juu wa Jeshi la Kujenga
Taifa (JKT) jijini Dar es salaam alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo
leo February 27, 2013. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.
Vuai Shamsi Nahodha, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange pia
walihudhuria.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia makamanda wa Jeshi la Kujenga Taifa
(JKT) alipotembelea makao makuu yao leo February 27, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akielekea kwenye uwanja wa sherehe baada ya
kupata maelezo na kutoa maagizo kwa uongozi wa juu wa Jeshi la Kujenga
Taifa (JKT) alipotembelea makao makuu yake leo February 27, 2013. Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Vuai Shamsi Nahodha na Mkuu wa
Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange pia walihudhuria.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na kada mbalimbali
za Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) alipotembelea leo February 27, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Raphael Muhuga,pamoja na Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Vuai Shamsi Nahodha, Mkuu wa
Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange wakati akiondoka Makao Makuu ya
Jeshi hilo leo. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment