Rapa machachari kutoka mkoani Arusha Kapuku Digital a.k.a Mitishamba
boy anatarajiwa kuachia mixtape gumzo inayo kwenda kwa jina la KABURI
LA FISADI Vol.1 ambayo inatayarishwa nastudio mbali mbali za jijini
Arusha mixtape hiyo imesha kamilika kwa sasa ipo katika hatua za
mwisho za kuachiwa kwenye mitandao. Kapuku ni rapa machachari sana
anayetisha kwa street mixtape na GANG RAP kapuku amehit mtaani kwa
nyimbo zake kama MUNGU NIPE A TOWN nanyingine nyingi
No comments:
Post a Comment