Tuesday, April 30, 2013

PICHA MBALI MBALI TUKIO LA LEMA KUFIKISHWA MAHAKAMANI JANA NA KUACHIWA HEBU SOMA KWA MAKINI MABANGO


ARUSHA BILA LEMA NI SAWA NA NCHI BILA KATIBA MOJA YA BANGO LILISOMEKA.

KESI YASOMWA KWA DAKIKA 12 KESI YA PIGWA KALENDA KUSIKILIZWA TAREHE 29 MAY 2013. LEMA AWEKEWA DHAMANA NA MTU MMOJA (MWANANCHI WA KAWAIDA TU) YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI MOJA.

WANANCHI WAANDAMANA POLISI WAWAPISHA.

LEMA AWASIHII WAFUASI WAKE WASIMUITE MKUU WA MKOA SHOGA.

VIDEO NA SAUTI ZA MAHAKAMANI TUNAWAWEKEA PUNDE KWASASA ANGALIENI ALBUM YA MATUKIO YA ARUSHA LEO.


LEMA AKIWA NA MBUNGE MWENZAKE PAMOJA NA MKEWE MAHAKAMANI LEO ASUBUHIII KABLA YA KUPEWA DHAMANA








BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA WANANCHI WALIPUKA NA KUSEMA MMETUHITA WENYEWE WALA MSIJILAUMU


WATU WAKITOKA MAHAKAMANI.


















WATU WALIKUWA WENGI ILIBIDI LEMA APANDE JUU YA GALI YEYE NA NASARI KUWASIHI NA KUWASHUKULU HUKU AKIWAOMBA WAENDE NYUMBANI WASUBULI MKUTANO SIKU YA ALHAMISI.



VIONGOZI WA CHADEMA WAKIONGEA NA WANA HABARI LEO BAADA YA LEMA KUACHIWA KWA DHAMANA.


PICHA KWA HISANI YA FUNUNU HABARI BLOG

No comments:

Post a Comment