habari za kuaminika kutoka katika chanzo kimoja jijini Arusha wapakiaji 17 wanahofiwa kufariki dunia na tayari miili ya marehemu 13 imeshatolewa kutoka katika kifusi cha kokoto(moramu) huko Arusha.
akiongea na sambweti.blogspot.com kwa njia ya simu shuhuda wa tukio hilo kutoka Arusha anasema tukio hilo limetokea leo majira kati ya saa 4 na saa 5 asubuhi mara baada ya kuanguka kwa kifusi cha kokoto wakita wapaikiaji hao wakiwa shimoni wakipakia kokoto.
ajali hiyo ya kuanguka kwa kifusi imehusi magari mawili kufukiwa na kokoto ambapo ni lori lilojulikana kama chombo cha neena pamoja na lori aina ya scania amabyo mpaka sasa bado yamefukiwa na kokoto pia yameharibika vibaya hivyo namba zako kushinda kutambulika mara moja.
uokozi bado unaendelea ili kutoa miili ya wale waliokutwa na tukio hili na pia jitihada zinafanyika kama kutaopolewa wengine wakiwa hai.
mlima wa moram uko nje kidogo ya jiji la Arusha katika eno la pekas kama unaelekea nduruma mbele kidogo ya mji wa Moshono
tayari mh mbunge wa ARUSHA GODBLESS LEMA na MH NASARI mbunge wa ARUMERU MASHARIKI wapo kwenye tukio la ajali kufuatilia hatua za uokoaji
Mungu ametoa na Mungu ametwaa jina lake lihimidiewa sambweti.blogspot.com linatoa pole sana kwa wahanga wa tukio hili.

No comments:
Post a Comment