Saturday, May 25, 2013

Brand New Toka kwa Cannibal - Bye Bye

Cannibal.jpgHii ni brand new toka kwa Cannibal baada ya kuachia Legend iliyotambulika zaidi kwa video yake ya kipekee,Cannibal ameamua kufanya wimbo huu as a special dedication to his father,hii ni maalum kwa baba yangu mzazi,nimemkumbuka sana na natumai wote mtaipokea vizuri wakati nikiendelea kujiandaa na video itakayofanyika hivi karibuni "Cannibal"

No comments:

Post a Comment