Wednesday, May 8, 2013

HONGERA ALVIN GASPER KWA KUTIMIZA MIAKA MIWILI


Shukran za pekee zifike kwa Mungu kwa kuwa yeye ndie muweza wa yote na yeye ndie anayetupa pumzi huku duniani


Familia ya bwana na bibi Gasper wa Rombo ubungo jijini Dar es salaam wanapenda kumpongeza mwanao mpendwa ALVIN GASPER kwa kutimiza miaka miwili kwa pamoja baba yako Gasper ,mama yako Esther, kaka yako Allen babu yako Fabian , shangazi zako mama k, mama joan na ant July baba mkubwa Jemsi na baba mdogo Michael ndugu jamaa na marafiki wa familia ya G SAMBWETI wanakutakia kila la kheri mungu akulinde na kukuongoza ukue katika njia nyoofu na mwisho uwe mtoto mwema

HAPPY BIRTHDAY TO YOU

UONGOZI WA sambweti .blogspot.com inakupa hongera sana kwa kutimiza miaka miwili ALVIN a.k.a BOOOOOOOOOOONGEEEEEEEE

No comments:

Post a Comment