Mapenzi Vita-Jordan http://www.
VERSE 1
Kama Mapenzi ni pesa,matajiri wasingeibiwa
Kama mapenzi ni ufundi,masikini asingekimbiwa
Kama mapenzi ni hatua mbona wengi wanatembea
Je ni nani huyu mwenye hatua nzuri,kwenye mapenzi
Hivi ni nini au tamaa,zinazoponza kwa sana
Sababu toka jana,alisema anipenda sana
HOOK
Wengi walalama kila siku,nimeamini leo
Ya kugombana kwa kutendwa, nimeyaona leo *2
Mapenzi ni Vita, Mapenzi ni vita
Mapenzi ni Vita, unaposhambuliwa we usishangae
Mapenzi ni Vita, Mapenzi ni vita
Mapenzi ni Vita, unaposhambuliwa we ujiandae
VERSE 2
Mapenzi mfano wa gari, aliyeliunda lishamwua
Sometimes kama ajali, inapotokea huwezijua
Mapenzi mfano wa sukari, moyoni yakikuingia
Hivi ni nini au tamaa,zinazoponza kwa sana
Sababu toka jana,alisema anipenda sana
Hivi ni nini au tamaa,zinazoponza kwa sana
Sababu toka jana, yeah, wooh wooh wooh!
HOOK
Wengi walalama kila siku,nimeamini leo
Ya kugombana kwa kutendwa, nimeyaona leo *2
Mapenzi ni Vita, Mapenzi ni vita
Mapenzi ni Vita, unaposhambuliwa we usishangae
Mapenzi ni Vita, Mapenzi ni vita
Mapenzi ni Vita, unaposhambuliwa we ujiandae
BRIDGE
Moyo na hisia viliponza kupenda, japo nliona wengi wanatendwa
Wanakula wanashiba, wanakwacha unakwenda unalala
HOOK
Wengi walalama kila siku,nimeamini leo
Ya kugombana kwa kutendwa, nimeyaona leo *2
Mapenzi ni Vita, Mapenzi ni vita
Mapenzi ni Vita, unaposhambuliwa we usishangae
Mapenzi ni Vita, Mapenzi ni vita
Mapenzi ni Vita, unaposhambuliwa we ujiandae
|
Monday, May 6, 2013
Mapenzi Vita Lyrics-Jordan
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment