AKIONGEA NA
WAANDISHI WA HABARI KAMISHANA WA POLISI, SULEIMANI KOVA AMESEMA JESHI HILO LIMEFANIKIWA PIA ,KUKAMATA MAJAMBAZI KADHAA MARA BAAYA YA KUJARIBU KUWAHONGA POLISI PESA TASLIMI MILIONI KUMI TANO ZA KITANZANIA ILI WASIKAMATWE,PIA WAMEFANIKIWA KUKAMATA NYARA ZASERIKALI , ZIKIWA NI MENO YA TEMBO KATIKA MSAKO MKALI.
POMAJA NA
MATUKIO HAYO PIA JESHI LA POLISI LIMEFANIKIWA KUKUSANYA
PESA TASLIMU MILIONI SITIN NA MBILI , LAKI TATU NA ARUBAIN ELFU , KUTOKANA KUKAMATA MAGARI YENYE MAKOSA MBALI
MBALI KWA KIPINDI CHA WIKI MOJA.
KAMISHINA
WA POLISI AMEWASHUKURU WANANCHI WOTE, WANAOENDELEA KUTOA USHIRIKIANO NA JESHI
LA POLISI, KATIKA KUHAKIKISHA KUWA WANAKOMESHA UHALIFU KATIKA JIJI LA DAR ES
SALAAM NA TANZANIA KWA UJUMLA, PAMOJA NA HAYO KAMI SHINA WA POLISI KANDA MAALUM
SULEIMANI KOVA, AMEWAONYA WALE WOTE WANAOPELEKA MAGARI YAO KUOSHWA KWA WATU BINAFSI,KUACHA
TABIA YA KUWAAMINI WAOSHAJI WA MAGARI NA KUWAACHIA FUNGUO ZA MAGARI KWANI WENGI
WAO WAMEBAINIKA SIO WATU WEMA KUTOKANA NA KUKOSA UAMINIFU KWA WATEJA WAO.
ADIHA KWA
KUMALIZIA KASHINA WA POLIS I WA KANDA
MAALUM SULEIMANI KOVA AMESEMA JESHI LA POLISI LINAJIANDAA KUWATUNUKIA ZAWADI
ASKARI POLISI,WALIKOTAA KUPOKEA RUSHWA YA SHILINGI MILIONI KUMI NA TANO NA JSEHI HILO LITAWAZAWADIA KILA ASKARI ALIEKUWEPO
KATIKA TUKIO HILO LA KUMAKATA MAJAMBAZI MILIONI KUMI NA TANO KAMA AHADI ILIVYOKUWA
IMEWEKA NA JESHI HILO.
No comments:
Post a Comment