Wednesday, June 19, 2013

Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal aagana na Mabalozi wa Tanzania waendao kuiwakilisha nchi nje, aufungua mkutano wa Mawakala wa Usafirishaji Kanda ya Afrika na Mashariki ya Kati jijini Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mabalozi wateule wa Tanzania, wanaokwenda kuripoti kwenye Vituo vyao vya kazi nje ya nchi, wakati mabalozi hao, walipofika ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Juni 19, 2013 kwa ajili ya kumuaga. Kutoka kushoto ni Balozi Modest Mero, anayekwenda Umoja wa Mataifa, Geneva, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk, anayekwenda, Abu Dhabi UAE, Balozi Chabaka Kilumanga, anayekwenda Comoro, Balozi Wilson Masilingi, anayekwenda The Hague, Uholanzi na Balozi Liberata Mulamula, anayekwenda Washington D.C, Marekani. (Picha zote na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mabalozi wateule wa Tanzania, wanaokwenda kuripoti kwenye Vituo vyao vya kazi nje ya nchi, wakati walipofika ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Juni 19, 2013 kwa ajili ya kumuaga
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mabalozi hao, wateule wa Tanzania, wanaokwenda kuripoti kwenye Vituo vyao vya kazi nje ya nchi, ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Juni 19, 2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wateule wa Tanzania, wanaokwenda kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi nje ya nchi, wakati walipofika ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Juni 19, 2013 kwa ajili ya kumuaga. Kutoka Kushoto ni Balozi Chabaka Kilumanga, anayekwenda Comoro, Balozi Mbarouk Nassoro Mbarouk, anayekwenda, Abu Dhabi UAE, Balozi Modest Mero, anayekwenda Umoja wa Mataifa, Geneva (kulia) ni Balozi Wilson Masilingi, anayekwenda The Hague, Uholanzi na Balozi Liberata Mulamula, anayekwenda Washington D.C, Marekani. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Double Tree, jijini Dar es Salaam leo, kwa ajili ya kuufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Mawakala wa Usafirishaji Kanda ya Afrika na Mashariki ya Kati, uliaoanza jijini leo, Juni 19, 2013.

Rais wa FIATA, Stanley Lim, akizungumza wakati wa ufunguzi wa kutano huo.
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, kuufungua mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akiufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Mawakala wa Usafirishaji wa Kanda ya Afrika na Mashariki ya Kati, uliaoanza jijini Dar es Salaam leo, Juni 19, 2013, ambao utaofanyika kwa siku nne.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, wakati akisoma hotuba yake ya ufunguzi rasmi wa mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, wakati akisoma hotuba yake ya ufunguzi rasmi wa mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano huo, mara baada ya kuufungua jijini leo.

No comments:

Post a Comment