Thursday, June 27, 2013

Rais Kikwete ampokea Rais wa Sri Lanka, Dar es Salaam


Rais Jakaya Kikwete, akiwa na mgeni wake, Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa (kushoto), mara baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam  . Rais Rajapaksa amewasili nchini kwa ziara siku mbili. (Picha zote na Kassim Mbarouk-bayana.blogspot.com)

Rais Jakaya Kikwete, akiwa na mgeni wake, Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa (katikati), wakiangalia ngoma ya Msewe ya wenyeji wa Pemba, iliyokuwa ikitumbuizwa na kikundi cha burudani cha Polisi, mara baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam  . Rais huyo, amewasili nchini kwa ziara siku mbili.
Baadhi ya ujembe aliokuja nao, Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa, wakiwa kwenye ndege, wakichukua matukio mbalimbali yaliyokuwa yakitokea uwanjani hapo mara baada ya kuwasili kwa Rais huyo, Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam  na kupokelewa na mwenyeji wake, Rais Jakaya Kikwete. Rais Rajapaksa amewasili nchini kwa ziara siku mbili. 
Ndege iliyokuwa imembeba, Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa, ikiwa uwanjani hapo mara baada ya kulakiwa na mwenyeji wake, Rais Jakaya Kikwete, Dar es Salaam . Rais Rajapaksa amewasili nchini kwa ziara siku mbili. 
Rais Jakaya Kikwete, akiwa na mgeni wake, Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa (kushoto), mara baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam l . Rais Rajapaksa amewasili nchini kwa ziara siku mbili. 
Rais Jakaya Kikwete, akiwa na mgeni wake, Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa (kushoto), wakiangalia vikundi vya burudani  mara baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam  . Rais Rajapaksa amewasili nchini kwa ziara siku mbili. 
Rais Jakaya Kikwete (kulia), akiondoka Uwanja wa ndenge wa Kimataifa wa Julius Nyerere na mgeni wake, Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa (kushoto), mara baada ya kuwasili na kuangalia vikundi mbalimbali vya burudani uwanjani hapo, Dar es Salaam leo. Rais Rajapaksa amewasili nchini kwa ziara siku mbili. 

No comments:

Post a Comment