Tuesday, June 25, 2013

Show ya shukrani ya Jambo Squad Arusha



Hivi Ndivyo ilivyokua show ya Jambo Squad ya kutoa shukrani kwa waliowapigia kura katika kinyang'anyiro cha kili awards, Jambo Squad , Grandmaster Records na MJ FM tunashukuru kwa mashabiki,wasanii,media na jeshi la polisi kwa ushirikiano mkubwa sana mliotuonesha katika kufanikisha hili, tuna heshima sana kwenu na kwa support iliyoonekana,tupo tunaandaa mengi zaidi kwaajili yenu,pamojah sana 

Baadhi ya Media.jpg
dj haazu kulia kwa mwisho akishow love

KIZAGA.jpg
John b producer was Grand mster regs ya  A CITY.
Janjaro.jpg



Photo
LADY FIRE



NIGGER C A.K.A MTOTO WA BIBI KOKO
Ordinally.jpg


MAMBO YALIKUW AHIVI KWA STEJI

UMEOOOOOOOOOOOOOOOOONAAAPhoto
JCB na Mo Plus.jpg
Photo
SEMIO MWANA WA SONYO 
Photo





NADHANI UMEINJOY 

No comments:

Post a Comment