Sunday, June 16, 2013

Walimbende wa kinyang'anyiro cha 'Miss Tanga', wafanya usafi wa mazingira

 Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego (fulana ya kijani), akifanya usafi na warembo wanaowania taji la umalkia wa Mkoa wa Tanga, 'Redd’s Miss Tanga 2013' leo, ikiwa ni siku maalumu, ikijulikana kama “Kalembo Day” kwenye Barabara ya Taifa, mkoani humo, ambapo shindano hilo linatafanyika June 22, mwaka huu. (Picha zote na Mpigapicha wetu)

Mkuu wa wilaya ya Tanga, Halima Dendego, akifanya usafi wa mazingira na washiriki wa shindano la kumtafuta Redd’s Miss Tanga 2013, ambalo litafanyika June 22, mwaka huu, Uwanja wa Mkwakwani.

Mkuu wa wilaya ya Tanga, Halima Dendego, akishiriki katika zoezi la usafi na warembo wanaowania shindano la kumtafuta mlimbwende wa Mkoa wa Tanga, Redd Miss Tanga 2013, shindano hilo litakalofanyika June 22, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga.

No comments:

Post a Comment