Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), anayeshughulikia Elimu, Kassim Majaliwa (wa pili kulia), akipatiwa maelezo na Ofisa Elimu wa Manispaa ya Ilala, Elizabeth Thomas (kushoto), wakati alipotembelea Shule ya Msingi Uhuru Wasichana, Dar es Salaam jana katika ziara yake ya kukagua masuala mbalimbali ya kielimu shuleni hapo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), anayeshughulikia Elimu, Kassim Majaliwa, akizungumza na wanafunzi wa darasa la nne wa Shule ya Msingi Uhuru Wasichana, Dar es Salaam jana wakati alipofanya ziara shuleni hapo, kukagua masuala mbalimbali ya kielimu.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), anayeshughulikia Elimu, Kassim Majaliwa, akifuatana na Ofisa Elimu wa Manispaa ya Ilala, Elizabeth Thomas (kushoto) na Mkuu wa Kituo cha Walimu cha Manispaa ya Ilala, Tatu Lukongo Tuwa akikagua mazingira ya Shule ya Msingi Uhuru Wasichana, Dar es Salaam leo, wakati alipofanya ziara shuleni hapo.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), anayeshughulikia Elimu, Kassim Majaliwa, akisaini kitabucha wageni wakati alipotembelea Kituo cha Walimu cha Manispaa ya Ilala, shuleni hapo leo. Kulia ni Mkuu wa Kituo cha Walimu cha Manispaa ya Ilala, Tatu Lukongo Tuwa.
Mkuu wa Kituo cha Walimu cha Manispaa ya Ilala, Tatu Lukongo Tuwa, akimpatia maelezo kuhusu kituo hicho, Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), anayeshughulikia Elimu, Kassim Majaliwa, wakati alipofika kituoni hapo katika ziara yake ya kutembelea Shule ya Uhuru Wasichana jijini leo. Wa pili kulia ni Ofisa Elimu wa Manispaa ya Ilala, Elizabeth Thomas.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), anayeshughulikia Elimu, Kassim Majaliwa, akizungumza na waandishi wa habari katika ziara yake hiyo, kituoni hapo jana.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), anayeshughulikia Elimu, Kassim Majaliwa, akitembelea Kituo cha Chekechea cha Shule ya Uhuru Wasichana katika ziara hiyo.
Naibu Waziri Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), anayeshughulikia Elimu, Kassim Majaliwa, akimweleza jambo mwalimu wa Kituo cha chekechea cha shule hiyo, Anna Stephano, alipotembelea kituo hicho katika ziara yake hiyo jana.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), anayeshughulikia Elimu, Kassim Majaliwa, akiongozwa na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Uhuru Wasichana, Alise Hwai (kulia) na Ofisa Elimu wa Manispaa ya Ilala, Elizabeth Thomas (kushoto), katika ukaguzi wa shule hiyo.
Ofisa Elimu wa Manispaa ya Ilala, Elizabeth Thomas (kushoto), akizungumza katika mkutano wa Naibu Waziri Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), anayeshughulikia Elimu, Kassim Majaliwa (kulia) na Walimu wa Shule ya Uhuru Wasichana, wakati alipofikia mwisho wa ziara yake shuleni hapo jana.
Naibu Waziri Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), anayeshughulikia Elimu, Kassim Majaliwa, akizungumza na walimu wa Shule ya Uhuru Wasichana kabla ya kumaliza ziara yake shuleni hapo jana.
Baadhi ya Walimu wa Shule ya Uhuru Wasichana, wakimsikiliza Naibu Waziri Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), anayeshughulikia Elimu, Kassim Majaliwa, wakati alipokuwa akizungumza nao shuleni hapojana.
Naibu Waziri Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), anayeshughulikia Elimu, Kassim Majaliwa (kulia), akizungumza na walimu wa Shule ya Uhuru Wasichana kabla ya kumaliza ziara yake shuleni hapo jana.
Naibu Waziri Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), anayeshughulikia Elimu, Kassim Majaliwa (kushoto), akizungumza na walimu wa Shule ya Uhuru Wasichana pamoja na viongozi wa Elimu wa Manispaa ya Ilala wakati akiagana nao baada ya kumaliza ziara yake, shuleni hapo jana.
Naibu Waziri Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), anayeshughulikia Elimu, Kassim Majaliwa, akiagana na walimu wa Shule ya Uhuru Wasichana mara baada ya kumaliza ziara yake ya kukagua maendeleo ya Elimu shuleni hapo jana.

No comments:
Post a Comment