Tuesday, July 2, 2013

Ona maajabu Rais Barack Obama acheza mpira katika mitambo ya kuzalisha umeme ya Symbion Ubungo jijini Dar es Salaam Tanzania.


 Hii inaitwa Ball Control ya uhakika kutoka kwa Rais wa Marekani Barack Obama,alipokuwa katika mitambo ya kuzalisha umeme ya Symbion Ubungo jijini Dar es Salaam Tanzania.

Aliangusha danadana za uhakika...
Hebu Nipasie na mimi uone......Rais wa Marekani Barack Obama akicheza mpira maalum ambao kadri unavyochezwa ndivyo unavyo zalisha umeme hivyo kuweza kutumika kuchargi vitu mbalimbali na kuwasha taa.

picha na  father kidevu blog

No comments:

Post a Comment